Yako Job
Android app by Bexa Microfinance. Business · Bexa Microfinance
- Store rating
- Unknown
- Store rating count
- Unknown
- Download price
- Free to download
- In-app purchases
- Not listed in captured metadata
- Version
- 3.0.0
- Listing last refreshed
- 2026-09-17
View the original store listing
Store description excerpt
Yako Job ni app inayokusaidia kupata matangazo ya ajira mpya kwa urahisi na haraka. Kupitia app hii unaweza kuona nafasi mbalimbali za kazi zilizosasishwa mara kwa mara katika sehemu moja bila usumbufu. App imeundwa kuwa nyepesi, rahisi kutumia, na kumwezesha mtumiaji kuona ajira mpya muda wowote bila hatua nyingi. Vipengele vya App: Matangazo mapya ya ajira kila wakati Muonekano rahisi na unaoeleweka App nyepesi na yenye kasi Rahisi kutumia kwa kila mtu Yako Job inalenga kurahisisha safari ya kutafuta kazi kwa kukuletea taarifa za ajira moja kwa moja kwenye simu yako.
Review coverage
AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.
Recent captured chart positions
No chart positions have been captured for this app yet.
Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.