Renti

Android app by Truedata Systems. Finance · Truedata Systems

Store rating
Unknown
Store rating count
Unknown
Download price
Free to download
In-app purchases
Not listed in captured metadata
Version
2.2.0
Listing last refreshed
2026-09-17

View the original store listing

Store description excerpt

Renti inakupa uhakika wa kuweza kulipa kodi ya pango kwa wakati bila kusababisha kutofautiana au kufarakana na mwenye nyumba wako. Unapokuwa na Renti, utaweza kulipa kodi yako ya pango kidogo kidogo kadri unavyoweza, kuanzia na TSH 1,000 tu, badala ya kulipa kodi yote kwa wakati mmoja. Hii imekuwa suluhisho kwa watu wengi wenye vipato vya kati na chini ambao wanakabiliwa na changamoto ya kulipa kodi kwa mkupuo mmoja. Kwa kutumia Renti, unaweza kuweka kiasi kidogo kidogo, kinacholingana na kipato chako, hivyo kurahisisha malipo ya kodi bila shinikizo kubwa la kifedha. Unaweza kutumia Renti kupitia app au kwa kuwasiliana na wakala wa Renti aliye karibu na wewe.

Review coverage

AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.

Recent captured chart positions

No chart positions have been captured for this app yet.

Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.