NBC Soka Tanzania
Android app by MIZOZO. Sports · MIZOZO
- Store rating
- Unknown
- Store rating count
- Unknown
- Download price
- Free to download
- In-app purchases
- Not listed in captured metadata
- Version
- 107.0
- Listing last refreshed
- 2026-09-09
View the original store listing
Store description excerpt
NBC Soka Tanzania ni programu ya mashabiki wa soka Tanzania inayokuletea Live Scores, Match Lineups, Match Timeline, Match Statistics, Standings na Football News katika sehemu moja. Fuatilia Simba SC, Yanga SC, Azam FC, NBC Premier League, Ligi Kuu ya Tanzania Bara na soka la kimataifa kwa taarifa za haraka kabla, wakati na baada ya kila mechi. LIVE MATCH CENTER Live Scores na masasisho ya papo kwa papo. Match Timeline yenye magoli, kadi, substitutions na matukio muhimu. Taarifa za mechi kwa wakati halisi. Tanzania Premier League Live Timeline. MATCH LINEUPS Fahamu kikosi kabla ya mechi kuanza: Starting XI Wachezaji wa akiba. Team Formations Michoro ya vikosi kwa urahisi wa kuona. MATCH STATISTICS Elewa mchezo zaidi ya matokeo: Ball Possession Shots & Shots on Target Corners Fouls Yellow & Red Cards Attacking Statistics Passing Statistics NBC PREMIER LEAGUE Fuatilia Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa urahisi: NBC Premier League Live Scores NBC Premier League Top Scorers Ligi Kuu Bara Top Assists NBCPL Standings Ratiba na matokeo ya mechi. FOOTBALL NEWS Pata habari za hivi karibuni kuhusu: Habari za Soka Tanzania NBC Premier League Simba SC, Yanga SC na Azam FC Transfer News na usajili wa wachezaji Uchambuzi wa mechi Habari za soka la kimataifa na CAF IMEUNDWA KWA WAPENZI WA SOKA TANZANIA NBC Soka Tanzania inakuweka karibu na mchezo unaoupenda kupitia Live Scores, Match Lineups, Match Timeline, Standings, Top Scorers, Top Assists, Match Statistics na Football News. Fuatilia mechi kwa wakati halisi na usikose tukio muhimu. Download NBC Soka Tanzania now and enjoy the game!
Review coverage
AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.
Recent captured chart positions
No chart positions have been captured for this app yet.
Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.