Muvi kali

Android app by BL Publishers. Entertainment · BL Publishers

Store rating
4.75 / 5
Store rating count
603
Download price
Free to download
In-app purchases
Not listed in captured metadata
Version
13.0.0
Listing last refreshed
2026-09-16

View the original store listing

Store description excerpt

Karibu Muvikali! – App ya kusoma muhtasari wa filamu kwa lugha ya Kiswahili. Muvikali ni app inayokupa maelezo ya stori za filamu mbalimbali kutoka duniani kote, kwa Kiswahili fasaha. Tunawasilisha muhtasari mfupi na maelezo ya kina ya filamu ili kusaidia watumiaji kuelewa kilichotokea kwenye filamu hizo – kwa njia ya simulizi, si kwa kuonyesha video. Welcome to Muvikali! – The app for movie story recaps in Swahili. Muvikali offers summaries and story explanations of popular movies in a simple and engaging way for Swahili speakers. Whether you’re looking to understand the plot of a trending film or just enjoy storytelling, this app is for you. Kwenye app utapata: * Muhtasari wa filamu mpya na maarufu * Maelezo ya stori kwa Kiswahili rahisi kuelewa * Burudani ya kusoma bila kuhitaji kutazama filamu What you’ll find: * Summaries of trending and classic movies * Storylines explained clearly in Swahili * No videos or streaming – just storytelling Disclaimer / Angalizo: This app **does not stream, host, or distribute full movies or videos**. We only share cover images and brief recaps strictly for informational and educational purposes. Hatutoi video, hatusambazi filamu, wala hatuhifadhi maudhui yoyote ya hakimiliki. Tunazingatia sera zote za Google Play na sheria za hakimiliki. Pakua Muvikali sasa na uanze kufurahia hadithi bora za filamu kwa Kiswahili! Download Muvikali today and enjoy the best movie stories – in Swahili!

Review coverage

AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.

Recent captured chart positions

No chart positions have been captured for this app yet.

Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.