Lokole App

iOS app by CHARLES CHARLES. Entertainment · CHARLES CHARLES

Store rating
1 / 5
Store rating count
1
Download price
Free to download
In-app purchases
Unknown
Version
1.1.4
Listing last refreshed
2026-09-13

View the original store listing

Store description excerpt

Endelea kuwa na habari moto moto kutoka Tanzania na kwingineko! Lokole ni app yako ya uhakika kwa udaku wa papo kwa papo, habari za mastaa, na mijadala inayotrend. Kuanzia drama za mastaa hadi matukio ya kitaifa, Lokole inakuletea kila kitu moja kwa moja kwenye simu yako. Habari zote katika Lokole zinahitaji uanachama ili kufikiwa. Ili kufikia maudhui yote ya habari, udaku, na mijadala, unahitaji kujisajili kwa kifurushi cha Pro Access. Hakikisha unapata taarifa zote zinazojiri kwa urahisi kwa kulipia kifurushi cha uanachama. Vipengele vya kulipia (Uanachama): Kifurushi cha miezi 1 kwa 2200 TZS. Kifurushi cha miezi 3 kwa 6900 TZS. Kifurushi cha miezi 6 kwa 11500 TZS. Kifurushi cha mwaka kwa 22900 TZS. Jinsi ya Kulipa na Kufikia Maudhui: Ili kufikia vipengele vyote vya Lokole, tafadhali chagua kifurushi kinachokufaa na lipa kupitia Apple In-App Purchase. Tafadhali soma: Masharti ya Matumizi (EULA): Hapa utapata masharti ya matumizi ya app hii. https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/ Sera ya Faragha: Hapa utapata taarifa kuhusu jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako.https://pay.lokoleapp.online/iprivacy-policy Kwa mazungumzo ya kirafiki, kufurahiya habari mpya za udaku, na kujua kila kilicho moto, Lokole inakupa habari zote kali — bila kuchuja. Pakua Lokole sasa na usipitwe na yanayojiri!

Review coverage

AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.

Recent captured chart positions

No chart positions have been captured for this app yet.

Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.