Kesha La Asubuhi
Android app by Joshua Kanyamanza. Books & Reference · Joshua Kanyamanza
- Store rating
- 4.5 / 5
- Store rating count
- 2584
- Download price
- Free to download
- In-app purchases
- Not listed in captured metadata
- Version
- 0.3.1
- Listing last refreshed
- 2026-09-10
View the original store listing
Store description excerpt
Download app hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, app kwaajili ya simu ili kumuwezeaha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi. Hii ni app ya bure kabisa na haimuhitaji mtumiaji kufanya malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya app. Pakua app hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo. Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.
Review coverage
AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.
Recent captured chart positions
No chart positions have been captured for this app yet.
Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.