BarakaZetu
iOS app by FIKRAFORGE COMPANY LIMITED. Music · FIKRAFORGE COMPANY LIMITED
- Store rating
- 0 / 5
- Store rating count
- 0
- Download price
- Free to download
- In-app purchases
- Unknown
- Version
- 1.2.1
- Listing last refreshed
- 2026-09-17
View the original store listing
Store description excerpt
BarakaZetu ni jukwaa la kidijitali la kusikiliza, kugundua na kushiriki nyimbo za kiimani, kwaya na maudhui ya sauti yanayojenga imani. Kupitia BarakaZetu unaweza: Kusikiliza nyimbo za kiimani na kwaya kutoka kwa wasanii, vikundi na jumuiya mbalimbali. Kugundua album, nyimbo mpya na kazi za zamani zilizogusa maisha ya wengi. Kutafuta nyimbo, album na wasanii kwa urahisi. Kuhifadhi nyimbo uzipendazo kwenye playlist zako binafsi. Kugundua maudhui ya sauti yanayohamasisha, kufundisha na kuimarisha imani. Kupitia Artist Studio, wasanii na vikundi wanaweza kupandisha na kusimamia maudhui yao moja kwa moja ndani ya BarakaZetu. Kwa Wasanii na Vikundi: 1 Sambaza kazi zako kwa hadhira inayopenda maudhui ya kiimani. 2 Ongeza mwonekano wa nyimbo na album zako. 3 Kuwa sehemu ya jamii inayotumia muziki na sauti kuhamasisha na kuunganisha watu. Dhamira Yetu Kujenga makazi ya kidijitali ya muziki na maudhui ya kiimani yanayohamasisha, kuelimisha na kuunganisha jamii kupitia sauti na muziki. Pakua BarakaZetu leo na ugundue muziki wa imani.
Review coverage
AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.
Recent captured chart positions
No chart positions have been captured for this app yet.
Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.