Bajeti Yangu App

Android app by Swahili ICT. Finance · Swahili ICT

Store rating
Unknown
Store rating count
Unknown
Download price
Free to download
In-app purchases
Not listed in captured metadata
Version
1.0
Listing last refreshed
2026-09-17

View the original store listing

Store description excerpt

VIPENGELE MUHIMU 1. Usimamizi wa Bajeti ✅ Kutengeneza/Kuhariri/Kufuta Bajeti Unaweza kuunda bajeti mpya, kubadilisha bajeti iliyopo, au kuifuta kabisa. Kila bajeti inaweza kuhaririwa wakati wowote. ✅ Kuweka Jina la Bajeti (max maneno 50) Jina la bajeti linaweza kuwa na herufi 50. App inakuonyesha umebaki na herufi ngapi ukiandika (mfano: 25/50). ✅ Kuweka Kiasi cha Bajeti Weka jumla ya fedha unazotaka kutumia kwenye bajeti hiyo. Inawekwa kwa shilingi (TZS) na ina format nzuri automatic. ✅ Kuchagua Tarehe ya Kuanza Chagua siku bajeti yako itakapoanza. Calendar itakuonesha uchague tarehe rahisi. ✅ Kuongeza Matumizi Mengi Unaweza kuongeza matumizi mengi unavyotaka kwenye bajeti moja. Minimum ni matumizi 1, maximum hakuna. ✅ Kuweka Bajeti Imekamilika Ukimaliza kutumia bajeti, unaweza imweka "Imekamilika" na itaonekana na badge ya green. 2. Kufuatilia Matumizi ✅ Kuongeza/Kuondoa Matumizi Unaweza kuongeza matumizi mapya kwenye bajeti yoyote, au kufuta matumizi usiyoyahitaji. Kubadilisha pia kunawezekana. ✅ Majina ya Matumizi (max maneno 40) Kila matumizi ina jina lake, maximum herufi 40. Character counter inakuambia umebaki na ngapi. ✅ Kiasi cha Matumizi Weka kiasi cha kila matumizi. Ina format ya shilingi automatic na thousand separators (mfano: 50,000). ✅ Weka Matumizi Yote Completed Kuna option ya kuweka matumizi yote completed kwa click moja, badala ya kubonyeza moja moja. ✅ Hesabu za Automatic App inahesabu jumla ya matumizi, baki, na asilimia automatic. Huhitaji kukokotoa calculator! 3. Hali ya Bajeti ✅ Kufuatilia Kiasi Kilichobaki App inakuonyesha umebaki na kiasi gani cha bajeti yako. Calculation ni automatic (Bajeti - Matumizi = Baki). ✅ Kutambua Bajeti Zimezidi Kama umetumia zaidi ya bajeti, app inakuambia "Imezidi" na kuonyesha umezidi kiasi gani. ✅ Kuonyesha Asilimia ya Matumizi Progress bar na percentage inaonyesha umetumia asilimia ngapi ya bajeti (mfano: 75%). Visual na rahisi kuelewa. ✅ Alama ya Bajeti Zilizo Expire (orange) Bajeti ambazo tarehe ya kuanza imepita lakini bado hazijakamilika zinaonekana na badge ya orange "Imeisha Muda". ✅ Alama ya Bajeti Zilizokamilika (green) Bajeti ulizozimaliza zinaonekana na badge ya green "Imekamilika". Vizuri kuona progress! ✅ Alama ya Bajeti Zilizozidi (red) Bajeti ulizozitumia zaidi ya limit zinaonekana na badge ya red "Imezidi". Warning ya kuangalia fedha. 4. Takwimu na Ripoti ✅ Kuchuja kwa Hali Unaweza chuja bajeti kulingana na hali: Zote, Zimekamilika, Zinaendelea, Zimezidi, au Ndani ya Bajeti. Rahisi kupata unavyotaka. ✅ Kuchuja kwa Tarehe Chagua tarehe range: Leo, Wiki hii, Mwezi huu, au Custom range. Unaona bajeti za kipindi fulani tu. ✅ Statistics za Muhtasari Jedwali kubwa la statistics linaonyesha jumla ya bajeti, zipi zimekamilika, zipi zimezidi, na takwimu nyingine muhimu. ✅ Export kwenye PDF na MS WORD Toa ripoti kamili kwa format ya PDF. Inatengenezwa na sections 3: Muhtasari, Bajeti, na Matumizi. Professional na ready for printing. ✅ Export kwenye CSV/Excel (fai

Review coverage

AppRill has captured 0 reviews for this app. This is a collected sample, separate from the store rating count. Latest review capture: Not captured yet.

Recent captured chart positions

No chart positions have been captured for this app yet.

Chart position, rating count and review coverage do not establish downloads, revenue or profit. Understand the differences.